Mikopo hutolewa kwa mwanachama na wafanyakazi wa Lulu Saccos. Mkopaji atajaza fomu ya mikopo na atatoa mchanganuo wa mkopo, mfan...
Read MoreMkopo huu unalenga kuwasaidia wanachama wanaofanya biashara ya uwakala, mwanachama anayeruhusiwa kukopa mkopo huu ni yule anayefanya biashara ya uwakala. Kiwango cha mkopo huu ni 100,000/= hadi 100,000,000/=.
Lulu Saccos tupo Soweto Mbeya Mjini, tunatazamana na barabara kuu ya Tanzania Zambia