Utaratibu wa Mikopo

Mikopo hutolewa kwa mwanachama na wafanyakazi wa Lulu Saccos. Mkopaji atajaza fomu ya mikopo na atatoa mchanganuo wa mkopo, mfan...

Read More
MKOPO WA ELIMU

Mkopo huu unalenga kumsaidia mwanachama katika kukabiliana na changamoto ya ada kwa ajili ya kulipia gharama za mafunzo katika shule na vyuo mbalimbali.

  • 1. Mkopaji atapaswa kujaza fomu maalum ya kuomba mkopo
  • 2. Riba ya mkopo huu itakuwa 2% kwa mwezi
  • 3. Mkopo huu utatolewa mara mbili kwa mwaka yaani kulingana mihula ya shule au vyuo.
  • 4. Kiwango cha juu cha kukopa kitakuwa 5,000,000/=
  • 5. Muda wa marejesho wa mkopo huu utakuwa miezi 3 au miezi 6 na marejesho yatafanyika kila mwezi
  • 6. Mwombaji atajaza mkataba wa mkopo. vii. Mkopo utakuwa na dhamana.
  • 7. Mkopaji atapata bila kuweka Akiba na Hisa kwani mkopo huu ni huduma kwa Wanachama.
News 1
Karibu Sana

Lulu Saccos tupo Soweto Mbeya Mjini, tunatazamana na barabara kuu ya Tanzania Zambia

picture-ya-Pesa
Vyanzo vya Mapato

  • (a) Hisa za wanachama
  • (b) Malimbikizo ya faida
  • (c) Mikopo kutoka taasisi mbalimbali za kifedha na zisizo za kifedha
  • (d) Misaada kutoka kwa wafadhili wa ndani na nje ya nchi
  • (e) Akiba za wanachama
  • (f) Uwekezaji wa wanachama na wadau mbalimbali

Ufahamu Zaidi

BIMA YA MIKOPO

Brief description of the news or event.

Read More
USIMAMISHAJI MIKOPO

Brief description of the news or event.

Read More
UREJESHAJI WA MIKOPO

Brief description of the news or event.

Read More